Single Blog Title

This is a single blog caption
04
Apr

NJIA MDABALA ZA KUKABILIANA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

UTANGULIZI:

Kwa mara akadha, sheria kama vile kuzuia na kuwadhibu wanaokutwa wanaharibu mazingira, kama vile kuchoma moto ovyo, kukata miti  au kufyeka misitu, imechukuliwa kama mbinu sahihi ya kuhakikisha utunzaji wa mazingira.

La hasha. Hii si kweli, kwani kadri mahitaji ya matumizi ya kuni au mkaa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya wanadamu kwa kupikia chakula, yanapazidi kuongezeka, sheria haiwezi tu kusaidia kuzuia uharibifu huo.

Hivyo kunahitajika njia mbadala ya kuwawezesha wahusika kuwa na njia sanifu za nishati muhimu hiyo hasa ya kupikia chakula. Na kufikia hapa, kunahitajika mpango kabambe wa kuendeleza tekinolojia sanifu ikiwemo:

upandaji miti wa mara kwa mara na kwa wingi

10 m plastic tube uses as biogas digester at Nyakasimbi Maarifa Centre 31-3-2018

Utengenezaji wa nishati mbadala kama vile bio gas

Utengenezji wa mkaa kutokana na mabaki ya mazao au mimea

Uzalishaji na usambazaji wa nishati mbadala kama vile gesi asilia, nguvu za umemem jua au upepo.

1 Response

  1. Having read this I believed it was extremely enlightening.
    I appreciate you spending some time and effort to put this
    article together. I once again find myself spending way
    too much time both reading and leaving comments.
    But so what, it was still worth it!

Leave a Reply

You are donating to : FADECO

How much would you like to donate?
$10 $20 $30
Would you like to make regular donations? I would like to make donation(s)
How many times would you like this to recur? (including this payment) *
Name *
Last Name *
Email *
Phone
Address
Additional Note
Loading...